Sunday, 21 August 2011

UBALOZI WETU UINGEREZA WAFUTARISHA JIJINI LONDON

Afisa ubalozi bwana Zamarani akiwakaribisha wadau kwenye futari ya pamoja
Aziza Ongala (kushoto) ambaye pia ni mtoto wa marehemu Ongala pichani akiwa na Frank
 Dada Carol kutoka ubalozini akiwa amepozi na Jestina kwenye hafla hiyo.
 Fredy MAcha katikati akiwa na wadau wakibadilishana mawazo.

Wakati wa kujihidimia ulipofika!!
 Mzee kiondo kutoka ubalozini akisubiria futari.
 Ustadhi akiangalia saa yake ili kujua kama mda umefika wa kufuturu.
 Pichani Wadau wakiendelea kufuturu kwa pamoja.
 Picha ya juu na hii ya chini dua ikiendelea kusomwa kwa utulivu na umakini mkubwa.
Watoto wa rika mbalimbali pia walikuwepo kwenye futari hiyo
 Hapa ilikuwa ni zamu ya akina mama kupata futari.
Mheshimiwa naibu balozi Kilumanga akiwashukuru wote waliofika kwenye hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment